Vifaa vya darasani huwasaidia wanafunzi na walimu katika shughuli za masomo ya kila siku. Faili hii ina picha za vifaa kama Ubao, kiti na dawati, Chaki na kadhalika.
Category: Items/Objects
Paper size: A4
Complete File: Has 2 MS word files & 2 Print ready PDF files with a variety of pictures of Vifaa vya darasani